1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.03.2019 Matangazo ya mchana

2 Machi 2019

Marekani na Korea Kusini zinapanga kusitisha mazoezi yao ya pamoja ya kijeshi // Pakistan imeikabidhi India rubani wake wa kijeshi aliyekuwa amekamatwa // Na Saudi Arabia imempokonya uraia mtoto wa kiume wa aliyekuwa kiongozi wa al-Qaeda Osama bin Laden

https://p.dw.com/p/3EM93