1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.03.2018 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S2 Machi 2018

Viongozi wa Somalia na Uganda wamejaribu hii leo kutafuta uungaji mkono wa Umoja wa Afrika kwa ajili ya juhudi za kiusalama za nchi hiyo ya pembe ya Afrika ya Somalia// Nchini Tanzania tume ya mawasiliano TCRA imeanza zoezi rasmi la majaribio ya usajili mpya wa kadi za simu kwa kutumia njia za kielektroniki ikiwa ni pamoja na kuchukua alama za vidole.

https://p.dw.com/p/2tbjn