Ni ziara nyeti wakati Kansela Merkel wa Ujerumani atakapoizuru Uturuki hapo Alhamisi kwani nadhari ya dunia itakuwa hapo// Viwanda vya kuku nchini Afrika kusini vimeonya na kuhoji shehena kubwa ya kuku wanaoletwa kwa sehemu kubwa kutoka nchi za Umoja wa ulaya// Njaa, utapia mlo na vifo vinatishia usalama wa watoto milioni 6.5 katika maeneo duni yenye ukame nchini Somali, Ethiopia na Kenya.