1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.12.2021 Taarifa ya habari asubuhi

1 Desemba 2021

WHO yazionya nchi kutoweka marufuku ya jumla ya kusafiri kutokana na kirusi cha Omicron // NATO na Urusi zatishia kuchukuliana hatua kuhusu mzozo wa Ukraine // Na Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed atangaza ushindi dhidi ya waasi wa Tigray

https://p.dw.com/p/43gMa