01.12.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 01.12.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

01.12.2020 Matangazo ya Jioni

Ruto anadai kunao viongozi wanaotumia njia ya kuwagawanya wananchi kupitia ripoti iliyoundwa baada ya salamu za maridhiano, BBI/ Mahojiano na waziri wa afya wa Kenya kuhusu chanjo ya COVID-19 kutoka China/ Tanzania: Maambukizi ya Ukimwi hususan kwa wasichana imepanda kwa kasi/ Congo: Mripuko wa pili wa ugonjwa wa COVID-19

Sikiliza sauti 60:00