Leo ni Siku ya Ukimwi Duniani// Maafisa wakuu wa shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu misaada ya kiutu wameonya huenda mji wa Aleppo nchini Syria ukawa kaburi kubwa// Bunge la Colombia limeidhinisha rasmi makubaliano ya amani kati ya Serikali na waasi wa kundi la FARC// Kenya sasa imo mbioni kukamilisha mipango yake ya ujenzi wa kiwanda cha nyuklia.