Mwandishi wa bahari za uchunguzi nchini Tanzania, Eric Kabendera amemwomba radhi Rais Maguli/ Burundi imekubali leo kwamba kundi la kwanza la wakimbizi takribani 1000 walioko Tanzania watarejea nyumbani siku ya Alhamisi wiki hii/ Mombasa: Washukiwa watatu wa ujambazi wameuwawa kwa kupigwa risasi katika makabiliano na maafisa wa ulinzi