1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.09.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S1 Septemba 2021

Mahakamu kuu nchini Tanzania Divisheni ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi, imetupilia mbali mapingamizi ya jopo la mawakili wa chama cha upinzani CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu/ Ujumbe wa kidiplomasia wa Qatar umewasili mjini Kabul kwa ajili ya mazungumzo na viongozi wa Taliban/ WHO yafungua kituo kipya cha kufwatilia magonjwa ya milipuko

https://p.dw.com/p/3zmz6