1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.08.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S1 Agosti 2019

Serikali ya Rwanda iliufunga mpaka kati yake na nchi hiyo jirani baada ya kutangazwa kwa kisa cha pili cha mgonjwa wa EBOLA katika mji wa Goma ambapo mtu huyo ilifariki jana Mpaka huo kwa sasa umeshafunguliwa tena// Kenya- Wanaharakati na mashujaa wa saratani wameandamana hii leo kuishinikiza serikali kuu kulitangaza baa la saratani.

https://p.dw.com/p/3NBVs