1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.08.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S1 Agosti 2019

Nchini Tanzania, kumeanzishwa kampeni kupitia mitandao ya kijamii ya kususia huduma za kampuni ya simu ya Vodacom// Zimbabwe- Emmerson Mnangagwa anakabiliwa na mzozo mkubwa wa kiuchumi// Baadhi ya nchi wanachama wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa, wamemtaka katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kuchunguza mashambulizi yaliyofanywa siku ya Jumanne, Kaskazini Magharibi mwa Syria.

https://p.dw.com/p/3N7sd