Julai mosi Kansela Angela Merkel atakuwa na miezi sita ya kutafuta maridhiano katika Umoja wa Ulaya// Somalia leo inaadhimisha miaka 60 ya uhuru// DR Congo-Wizara ya Afya inaelezea mafanikio mazuri katika kupambana na ugonjwa wa Ebola kwenye jimbo la Eqauateur,kaskazini Magharibi mwa nchi// Shirika la Umoja Mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNHCR Uganda limejiandaa kuwapokea mamia ya wakimbizi.