Chama tawala katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo cha PPRD kimejiandaa kufanya kampeni za uchaguzi, huku picha za rais Joseph Kabila zikiwa zimebandikwa kila mahali// Shule za watoto wakimbizi nchini Lebanon zinazoendeshwa na Shirika la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya wakimbizi wa Kipalestina ziko mashakani.