01.06.2017 Matangazo ya Jioni | Habari za Ulimwengu | DW | 01.06.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

01.06.2017 Matangazo ya Jioni

Rais Uhuru Kenyatta ameahidi elimu bila malipo katika shule za upili mwaka ujao pindi akichaguliwa kuwa kuongoza kwa kipindi cha pili// Chama kikuu cha upinzani nchini tanzania kimejibu thuhuma za chama cha mapinduzi kilichodai kuwa vyama vya upinzani havitoi ushirikiano katika taharuki inayoendelea ya mauaji ya raia, viongozi na askari polisi yanayohusishwa unyang’anyi wa silaha mkoani pwani.

Sikiliza sauti 60:00