1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.05.2018 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S1 Mei 2018

Rais wa Tanzania, John Magufuli leo amezungumza na mamia wa wafanyakazi nchini humo// Wafanyakazi nchini Kenya wanashusha pumzi baada ya serikali kuamuru wapewe nyongeza ya 5% ili kukiongeza kima cha chini cha mshahara// Kiongozi wa upinzani wa Armenia, Nikol Pashinyan, amewahimiza wafuasi wake kuandamana ili kulishinikiza bunge kumchagua yeye kuwa Waziri mkuu mpya wa taifa hilo.

https://p.dw.com/p/2wygL