1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.04.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S1 Aprili 2021

Upinzani Tanzania wamuomba rais Samia kusimamia demokrasia/ Miongoni mwa mabadiliko ambayo ameyafanya Rais wa sasa Samia Suluhu Hassan ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi wa mtangulizi wake Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge/ Wanamgambo wa Ethiopia walaumiwa kwa mashambulio ya kigaidi eneo la Magharibi/ Biden atangaza mpango wa kuimarisha miundo mbinu Marekani

https://p.dw.com/p/3rTnD