Kutoka eneo kame la Sahel hadi katika rasi ya Sinai na sasa Msumbiji, Afrika inadhihirisha kuwa eneo linalopendelewa na makundi ya itikadi kali/ Jamii ya WaYazidi imesema sheria mpya ya kuwasaidia wanawake wa jamii hiyo haitoshelezi kuwalinda/ Barua kutoka Dar/ Wakoloni Wajerumani walisambaratisha falme za Cameroon, lakini Njoya Ibrahim aliweza kuulinda ufalme wake