Kenya: Mgonjwa wa kwanza wa ugonjwa wa COVID-19 kupona/ Afisa mwandamizi wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa raia wengi wa mataifa ya Afrika wataathirika pakubwa kutokana na hatua za dharura/ Uchaguzi nchini Ethiopia ni wa kwanza mkubwa barani Afrika kuahirishwa kwa sababu ya virusi vya corona/ Sierra Leone: Serikali imeamua kuwaruhusu wasichana wajawazito au wenye watoto kuendelea na masomo