01.03.2021 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 01.03.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

01.03.2021 Matangazo ya Jioni

Othman Masoud Othman ameteuliwa kuwa makamo wa kwanza wa rais Zanzibar/ Ubadhirifu wa huduma za dawa katika hospitali za mikoa Tanzania/ Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy amehukumiwa na kifungo cha miaka mitatu/ Umoja wa Mataifa unakusudia kuchangisha dola bilioni 3.85 katika mkutano wa kimataifa wa wafadhili ili kuwaokoa mamilioni ya watu wa Yemen wanaokabiliwa na baa la njaa

Sikiliza sauti 60:00