01.03.2019 Matangazo ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 01.03.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

01.03.2019 Matangazo ya Asubuhi

India na Pakistan wanajikuta wakati huu katika mzozo mbaya zaidi ndani ya miongo kadhaa// Kwa muda mrefu tangu kumalizika kwa vita vya Yom Kippur vya mwaka 1973 uhusiano baina ya Israel na nchi za Afrika ulikuwa wa matatizo lakini sasa pana dalili za mabadliko// Wakaazi katika wadi ya karare jimboni Marsabit nchini Kenya, wamepinga pendekezo la serikali ya kitaifa kujenga kambi ya jeshi eneo hilo.

Sikiliza sauti 51:59