Mwanasiasa wa Upinzani nchini Tanzania Edward Lowasa ametangaza kujiunga tena na chama tawala nchini humo CCM// Mgogoro wa chini kwa chini kati ya Rwanda na Uganda umechukua mkondo mwingine kufuatia habari za serikali ya Kigali kuifunga mipaka yake na kuwazuia raia wake kutovuka kwenda Uganda// Rais wa Sudan, Omar al-Bashir amekabidhi uongozi wa chama tawala nchini humo kwa makamu wake.