1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zijue Apps za kusambaza chakula

Sylvia Mwehozi
4 Septemba 2018

Hamna raha kama kula chakula kitamu, na huwa raha zaidi kama utaletewa chakula hicho mlangoni mwako. Katika ulimwengu wa leo uliotawaliwa na teknolojia, hilo linawezekana sana. Ungana na Sylvia Mwehozi, uzifahamu Apps mbalimbali ambazo zinatoa huduma ya kusambaza chakula nchini Kenya na Tanzania.

https://p.dw.com/p/34G19