SiasaUjerumaniZiara ya waandishi wa DW kuripoti uchaguzi wa UjerumaniTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaUjerumani07.09.20217 Septemba 2021Harrison Mwilima, ripota wa DW Kiswahili-Berlin ni miongoni mwa timu ya waandishi wa DW wanaozunguka kote Ujerumani kabla ya uchaguzi mkuu Septemba 26. Safari yao imeanzia katika bunge la shirikisho Bundestag. #Kurunzihttps://p.dw.com/p/401xbMatangazo