Ziara ya Rais wa China Xi Jinping nchini Tanzania | Matukio ya Afrika | DW | 25.03.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Ziara ya Rais wa China Xi Jinping nchini Tanzania

Rais wa China, Xi Jinping, ametambulisha sera ya nchi yake kuelekea bara la Afrika akisisitiza kuwa pande hizo mbili zitaendelea kutegemeana katika nyanja zote.

Rais Xi Jinping akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete

Rais Xi Jinping akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete

Rais huyo ametumia jukwaa la Tanzania kujitambulisha kwa Afrika ikiwa ni chini ya mwezi mmoja tangu achukue wadhifa huo.

Kutoka Dar es Salaam, George Njogopa anaarifu zaidi na kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: George Njogopa

Mhariri: Mohammed Khelef

Sauti na Vidio Kuhusu Mada