1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maisha

Zawadi aliyompelekea bi Harusi yamponza

23 Septemba 2020

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni;aliyempelekea bi harusi zawadi ya Chokoleti yamemkuta makubwa yaliyomfanya ajutie kutoa zawadi. Karibuni ni kipindi kilichosheheni burudani tele na mengi ya kuelimisha.Ni humu ndani ya karibuni leo,utamjua zaidi msanii wa vichekesho anaeuvaa uhusika wa kike kwa kujiamini kabisa kutoka Mombasa anajiita Mama Fathma. Jiunge na Karibuni kupata uhondo halisi

https://p.dw.com/p/3itr7