1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Yanayojiri katika utaratibu wa ubia kati ya serikali na sekta binafsi Uganda

Lubega Emmanuel MMT18 Septemba 2019

Utaratibu wa ubia kati ya serikali na sekta binafsi maarufu kama PPP ulitarajiwa kuleta maendeleo ya harakabarani Afrika. Lakini kinachojitokeza kwa sasa ni kinyume kwa mfano nchini Uganda. Hii ndiyo sababu makundi mbalimbali ya watu kutaka sheria na sera zinazohusiana na utaratibu huo zifanyiwe mageuzi. Ungana na Mwandishi wetu Lubega Emmanuel toka Kampala katika makala haya kufahamu zaidi

https://p.dw.com/p/3PoHH