1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Yahoo

Yahoo Inc. Ni kampuni kubwa ya teknolojia ya nchini Marekani, ikiwa na makao yake mjini Sunnyvale jimboni California. Ni maarufu sana duniani kote kwa huduma zake za barua pepe, utafutaji n.k.

Yahoo iliasisiwa na Jerry Young na David Filo Januari 1994, na kusajiliwa Machi 2, 1995. Marrisa Mayer, mtendaji wa zamani wa Google, ndiye afisa mtendaji mkuu na rais wa Yahoo kwa sasa.