1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wolfsburg kukwaana na Schalke

Josephat Charo
25 Agosti 2018

VfL Wolfsburg wanawaalika nyumbani Schalke 04 katika mechi yao ya kwanza ya msimu wa 56 wa ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani, Bundesliga. Mechi hiyo itachezwa leo (25.08.2018) katika uwanja wa Volkswagen Arena mjini Wolfsburg kuanzia saa tisa na nusu saa za Ujerumani. Sikiliza mahojiano kati ya Lilian Mtono na Josephat Charo

https://p.dw.com/p/33jWa