Wiki ya Kijani Berlin | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 23.01.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Wiki ya Kijani Berlin

Kila mwaka nchini Ujerumani huadhimishwa wiki ya kimataifa ya kijani ya Berlin, ambayo huleta pamoja wadau mbalimbali katika sekta ya kilimo, chakula na kwenye upande wa shughuli za bustani kuonyesha bidhaa zao pamoja na uvumbuzi unaoendelea katika sekta ya kilimo

Tazama vidio 03:13