Waziri wa uchukuzi wa Tanzania ziarani Ujerumani | Matukio ya Afrika | DW | 17.09.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Waziri wa uchukuzi wa Tanzania ziarani Ujerumani

Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania, Dr. Harrison Mwakyembe yupo hapa Ujerumani kwa ziara ya kikazi.

Shirika la Lufthansa la Ujerumani kuingia ushirikiano na Air Tanzania

Shirika la Lufthansa la Ujerumani kuingia ushirikiano na Air Tanzania

Dr. Mwakiyembe jioni hii (17.09.2012) anatarajiwa kusaini makubaliano ya ushirikiano wa usafiri wa anga baina ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL na la Ujerumani Lufthansa na vilevile kuangalia uwezekano wa serikali ya Ujerumani kusaidia katika uboreshaji wa usafiri wa reli. Sudi Mnette alizungumza naye akiwa Berlin na kwanza alitaka ufafanuzi kuhusu lengo hasa la ziara hiyo.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohammed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada