1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaAsia

Waziri Mkuu wa Bangladesh Hasina ajiuzulu

6 Agosti 2024

Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina amejiuzulu, kufuatia maandamano ya kupinga utawala wake yaliyodumu kwa wiki kadhaa. Mkuu wa majeshi Jenerali Waker-uz-Zaman ametangaza "kuchukua majukumu kamili" huku akiweka hadharani mipango ya kuunda serikali ya mpito.

https://p.dw.com/p/4j8ej