Watu wanaojali – Kipindi 05 – Mwanasiasa Mtoto29.03.201129 Machi 2011Esther mwenye umri wa miaka 16 ni rais wa baraza la seneti la bunge la watoto nchini Nigeria. Sikiliza kipindi hiki na ujifunze vipi watoto ni viongozi wa leo – na pia kesho.https://p.dw.com/p/QpU0Matangazo