Watanzania waelezea hofu yao kuhusu virusi vya corona | Media Center | DW | 17.03.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Watanzania waelezea hofu yao kuhusu virusi vya corona

Tayari Tanzania imethibitisha kisa kipya cha kwanza cha Covid-19 hatua inayoendelea kuleta wasiwasi kwa wengi kutokana na kusambaa kwa virusi hivyo. Licha ya serikali kutoa wito kwa watu kutoshiriki katika misongamano isiyo ya lazima, bado katika soko la kariakoo watu wanaendelea kushuhudiwa lakini wingi wake kama wa siku zote. #KURUNZI 17.03.2020. Video imetayarishwa na Hawa Bihoga

Tazama vidio 03:18