Watafuta elimu mwendo mrefu | Media Center | DW | 08.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Watafuta elimu mwendo mrefu

Wanafunzi katika shule ya msingi ya Ufana, mkoa wa Manyara huko Tanzania wanalazimika kutembea kilomita nane kila siku kuelekea shule. Kila siku wanakosa angalau masomo matatu ya kwanza na wanapowasili shule, wanakuwa wamechoka mno.

Tazama vidio 01:19
Sasa moja kwa moja
dakika (0)