Wasiwasi wa maandamano ya waislamu watanda Daressalaam | Matukio ya Afrika | DW | 19.10.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Wasiwasi wa maandamano ya waislamu watanda Daressalaam

Huko Tanzania bara hali ni ya wasiwasi baada ya kiongozi wa Jumuiya ya waislamu Sheikh Ponda kukamatwa na kushtakiwa pamoja na wafuasi wake kadhaa kwa tuhuma za kuchochea ghasia wakati wa maandamano wiki iliyopita.

Hali ni ya wasiwasi katika jiji la Dar es Salaam

Hali ni ya wasiwasi katika jiji la Dar es Salaam

Kwa mujibu wa Polisi,Maandamano hayo yalizuka baada ya kudaiwa kwamba kuna kijana wa kiume wa miaka 12 kutoka shule moja ya kikristo aliyekojolea kitabu kitakatifu cha Koran.Makanisa kadhaa yalitiwa moto kufuatia vuguru hizo.Ili kupata sura halisi ya mambo Saumu Mwasimba amezungumza na Abubakary Liongo .

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi:Saumu Mwasimba

Mhariri: Mohammed AbdulRahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada