Washindi wa kupiga picha bora za wanyama pori mwaka 2020 watangazwa | Mada zote | DW | 15.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Washindi wa kupiga picha bora za wanyama pori mwaka 2020 watangazwa

Kila mwaka, makavazi ya kihistoria ya London huwatuza wapiga picha ambao wamenasa picha nzuri za mandhari. Hizi ni baadhi ya picha bora zilizoivutia zaidi DW.