1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wasomi wajishughulisha na kilimo

Veronica Natalis
9 Mei 2018

Kilimo cha sasa si cha kubeba jembe begani. Unaweza kuwa mbali, msomi na shahada zako na bado ukaweza kujishughulisha na kilimo. Hii ni mada anayoizungumzia Veronica Natalis katika wanawake na Maendeleo.

https://p.dw.com/p/2xQOW