Kazi ni kazi ndio msemo wa wengi. Kutana na wanawake wa kikundi cha Baraka Conservation kutoka eneo la Kusini mwa Pwani ya Kenya waliobobea katika ufugaji samaki na upanzi wa mikoko kwenye fukwe za bahari ili kuhifadhi mazingira.
Unazungumzia vipi juhudi kama hizi? Tazama video iliyotayarishwa na Fathiya Omar.
#Kurunzi 16.11.2022