1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake na ujasiriamali wa biashara mtandaoni

5 Septemba 2018

Je kwa kiasi gani wanawake wanashiriki katika kubuni, kutumia na kuendeleza teknolojia kwa malengo ya kutoa huduma na kujikimu katika uchumi? Hawa Bihoga analiangazia kwa kina suala la ubunifu katika nyaja ya teknolojia, akijitikita zaidi katika ujasiriamali wa biashara ya mtandaoni.

https://p.dw.com/p/34KVR