Wanawake 100 wenye ushawishi Tanzania | Media Center | DW | 03.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Wanawake 100 wenye ushawishi Tanzania

Angela Mdungu katika makala hii ya wanawake amezungumza na Bi Caroline Juliette Moses Ndosi mwanamama kutoka nchini Tanzania ambaye mwaka uliopita aliendesha Kampeni za kuwatambua wanawake 100 wenye ushawishi nchini humo.

Sikiliza sauti 09:45