1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanalenga kutimiza ndoto zao maishani licha ya changamoto zinazowakabili

19 Novemba 2018

Licha ya baadhi yao kuacha masomo mapema kwa sababu ya hali ngumu ya kiuchumi, sasa wametambua kuwa wana vipaji vya ubunifu na wanaweza kutumia kidogo kilichoko ili kupata kingi na hatimaye kufikisha ndoto zao za maishani.

https://p.dw.com/p/38Xsk