Wanaharakati waliwalazimisha viongozi wa iliyokuwa Ujerumani mashariki kusalimu amri | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 09.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Wanaharakati waliwalazimisha viongozi wa iliyokuwa Ujerumani mashariki kusalimu amri

Ilikuwa ni Oktoba 9 mwaka 1989 ambapo watu 70 000 waliteremka barabarani mjini Leipzig kudai uhuru na demokrasia

Tazama vidio 01:47