1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanaharakati waandamana nje ya jengo la mkutano wa COP27

Amina Mjahid
9 Novemba 2022

Mkutano wa kimataifa juu ya mabadiliko ya tabianchi COP27 unaingia siku yake ya tatu leo katika mji wa Sharm Al Sheikh nchini Misri, huku wanaharakati wa mazingira wakiandamana nje ya eneo panapofanyika mkutano huo wakisisitiza kuwa nishati ya mafuta kama dizeli na petroli zidhibitiwe. #kurunzi09.11.2022

https://p.dw.com/p/4JGJI