Wanafunzi wasahau stadi muhimu baada ya likizo ya Corona | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 14.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Wanafunzi wasahau stadi muhimu baada ya likizo ya Corona

Kutokana na likizo ya COVID-19 baadhi ya wanafunzi nchini Tanzania wamerejea shuleni wakiwa wamesahau kusoma, kuandika na hata kuhesabu huku jukumu kubwa likisalia kwa walimu kuanza kuwaandaa kisaikolojia.

Tazama vidio 03:34