1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanafunzi wabunifu wa mbolea

4 Agosti 2021

Kutana na wanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya Sekondari Mikindani huko mkoani Mtwara -Tanzania waliofanya utafiti wa Kisayansi na kufanikiwa kugundua mbolea ya asili inayotokana na tangawizi, mdalasini na mwarobaini. Video na Salma Mkalibala.

https://p.dw.com/p/3yWk9