Wakenya watakiwa kupima kisukari mapema | Masuala ya Jamii | DW | 14.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Wakenya watakiwa kupima kisukari mapema

Ugonjwa wa kisukari ambao unazidi kuwaathiri watu wengi, hasa kufuatia mabadiliko katika hali ya maisha, haujapokea hamasisho kubwa ukilinganishwa na magonjwa mengine hasa yanayoambukizwa.

Sikiliza sauti 02:46

Ripoti ya Wakio Mbogho kutoka Nairobi

Kenya ina vituo vitatu vya ubora wa hali ya juu vilivyoanzishwa kupambana na ongezeko la ugonjwa wa kisukari. Vituo hivi, vipo katika hospitali kuu katika miji ya  Mombasa, Nakuru na Kakamega. Ugonjwa wa kisukari ambao unazidi kuwaathiri watu wengi hasaa kufuatia mabadiliko katika hali ya maisha, haujapokea hamasisho kubwa ukilinganishwa na magonjwa mengine hasa yanayoambukizwa. Katika maadhimisho ya mwaka huu ya ugonjwa wa kisukari, wito unatolewa kwa watu kujipima mapema ili kuudhibiti na kuepuka athari za ugonjwa huu ambazo hujitokeza baadaye. Mwandishi wetu Wakio Mbogho kutoka Nakuru na taarifa zaidi.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com