„Wakati wangu wa kutumia App“ – Weka sasa na ushinde
30 Septemba 2015Matangazo
Tungependa kujua wapi na wakati gani unapotumia sana App yetu. Je ni wakati wa kunywa kahawa ya kiamsha kinywa au ukiwa njiani kuelekea kazini? Unatafuta taarifa ukiwa kazini kwako au unaacha App ya Habari kuikamilisha siku yako?
Hivi ndivyo inavyofanya kazi
- Rekodi wakati wako binafsi kwa kutumia App
- Weka picha au vidio fupi ya App yako (hadi sekunde 15) na neno „App“ katika eneo la „My DW“
- Usisahau: Taja wakati na mahala ulipotumia App.
Kutokana na majibu tutakayoyapokea tutatengeneza „Siku na App ya DW“. Utapata wakati murwa ulipotumia App kila saa, ulimwengini kote katika tovuti ya dw.com/mobil.
Tunayasubiri kwa hamu majibu yako!
App mpya ya DW News kwa ajili ya tablet na simu za mkononi inakupatia taarifa za karibuni na za undani kabisa. Ipate kupitia iTunes App Store au Google Play Store.