1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waislamu nchini Uganda washerehekea sikukuu ya Eid-ul Fitr

2 Mei 2022

Waislamu nchini Uganda wameadhimisha sikukuu ya Eid-ul Fitr, kwa kuungana na jamaa na marafiki katika ibada. Waumini wa dini hiyo waliliminika kwa wingi misikitini na viwanjani kwa sala maalum leo asubuhi. Je, nchini mwako waislamu wamesherehekea vipi sikukuu ya Eid? #kurunzi 02.05.2022

https://p.dw.com/p/4Ajr9