Wahanga wa utawala wa Manazi wenye asili ya Afrika waenziwa | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 16.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Wahanga wa utawala wa Manazi wenye asili ya Afrika waenziwa

Hivi karibuni mjini Berlin kulifanyika tukio la kuwakumbuka wahanga wawili wa utawala wa Manazi wenye asili ya Afrika. Majina na taarifa za Martha Ndumbe na Ferdinand James Allen zimekwekwa kwenye kisahani cha shaba na kupachikwa mbele ya nyumba walizoishi.

Tazama vidio 03:38