Waganda watetea kwa nguvu zote katiba yao | Media Center | DW | 21.09.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Waganda watetea kwa nguvu zote katiba yao

Waganda waandamana kupinga mpango wa kupelekwa mswada utakaoondoa kipengee cha katiba cha ukomo wa umri wa kugombea uchaguzi,Kenya uchaguzi mpya kufanyika Oktoba 26 na Wamexico wapo msibani kufuatia watu zaidi ya 230 hadi sasa kufariki kutokana na tetemeko la ardhi

Tazama vidio 02:27