1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sheria na Haki

Wafungwa wana haki gani?

19 Julai 2018

Ingawa watu wengi hukubaliana juu ya haki za kimsingi za kibinaadamu, hutofautiana pale mwanaadamu huyo anapokuwa mfungwa gerezani. Wako wanaodhani kuwa, kwa vile tu kuhukumiwa kwake na mahakama kutumikia kifungo, mfungwa huwa ameshavuliwa uwanadamu wake na hivyo ule msamiati wa haki za binaadamu haumuhusu anapokuwa kifungoni. Mbiu ya Mnyonge inaziangazia kwa undani haki za wafungwa.

https://p.dw.com/p/31kAp